Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Oktoba 01, 2024. Waziri Mkuu alitokea New York nchini Marekani, ambapo alimwakilisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).
Tags
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Prime Minister Office Tanzania
UNGA79