NAITWA Adam kutokea Dar es Salaam, nina mdogo wangu alitaka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea Uganda, yeye anavyodai ni kwamba walikutana naye hapa Tanzania katika shughuli zake.
Sasa huyo mchumba wake akaja kumtambulisha nyumbani, akaambiwa mahari milioni 5, akatoa milioni 3 na nusu, halafu ghafla wakaondoka pamoja na kusema eti ndoa watafungia huko.Sasa familia hapa Tanzania tukawa hatuna amani kabisa, binti yetu kwenda Uganda, yaani nje ya nchi yetu, na kuna watu wakawa wanamtisha mama wakisema akienda huko harudi tena ndipo ikabidi...SOMA ZAIDI HAPA