Balozi Nchimbi akutana na Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM,Spika wa Bunge

DODOMA-Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakizungumza jambo wakati wakiagana baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika leo Ijumaa, tarehe 11 Aprili 2025, ofisini kwa Balozi Nchimbi, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. Pichani kushoto ni Ndugu John Mongella, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara).


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news