Waziri Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika
DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika, Godfrey Ng’urah Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2025.