Je, ni kweli wanawake wasomi huchelewa kuolewa?

NINAKUMBUKA kuna mtu mmoja katika mtandao wa X, zamani Twitter aliuliza kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?.

Swali hilo lilikuwa likigusa maisha yangu kutokana nilikuwa mwanamke ambaye kila mara nilijikuta katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa kunio.

Naitwa Shami, nina shahada mbili ukapande IT, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 10 na nimeweza kutengeneza maisha yangu vizuri tu.
Naweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 40 nilikuwa sijaolewa.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news