Kijana aliyekata tamaa ashinda Sh140 milioni

KUTANA na Tumaini Mwangi ambaye ni mtu mwenye furaha na mafanikio, aanamiliki jumba la kifahari huko Runda, Nairobi nchini Kenya, pia ana magari na biashara kadhaa. Kwa kifupi anaishi maisha ya ndoto zake.

Hata hivyo, miaka minne iliyopita, alikuwa mtu aliyevunjika moyo na kukata tamaa, alifanya kazi kama mlinzi katika duka moja huko Bunju, akipata mshahara mdogo ambao ulitosheleza mahitaji yake ya kimsingi pekee.
Alikuwa na mke na watoto watatu ambao walimtegemea kwa kila kitu. Hakuwa na akiba, hana uwekezaji, na hana mali, hivyo alikuwa akiingia kwenye madeni kila mara na kuishi kwa kukopa kila wakati.

Tumaini alikuwa amejaribu kuboresha hali yake kwa kutafuta kazi nyingine, kuomba mikopo na kujiunga na miradi mbalimbali, lakini...ZAIDI SOMA HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news