Marehemu akataa kuzikwa na kuibua tafrani mjini

MJI mdogo wa Kisii nchini Kenya ulijikuta katika majonzi na mshangao huku mwili wa Fetty Moraa, anayedaiwa kuuawa na mumewe, ukikataa kuzikwa hadi pale Kiwanga Doctors ambao ni wabobezi wa tiba asilia walipoingilia kati suala hilo.

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mwaka 2021 na kuibua mshtuko kwa jamii, mamlaka za eneo hilo zilichukua hatua haraka za kumkamata mume wa Moraa ambaye ni mshukiwa mkuu wa uhalifu huo wa kutisha.
Walakini, kilichofuata ni hali ambayo sio ya kawaida iliyoacha gumzo katika eneo hilo, hali hiyo ni kwamba mwili huo uligoma kuzikwa jambo ambalo liliwaacha katika sintofahamu waombolezaji.

Hali ambayo hapo awali ilikuwa ya huzuni iligeuka kuwa ya kutisha, huku walioshuhudia tukio hilo akitoa hadithi za marehemu kuwa amezikwa kinyume na taratibu za matakwa yake kama vinavyoelekeza mila na jadi.

Familia ya Fetty iliamua kutafuta usaidizi kutoka kwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news