Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Fasihi (2021)
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Prof.Abdulrazak Gurnah, Mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Fasihi (2021), jijini London tarehe 9 Aprili 2025.