Rais Dkt.Mwinyi kuzungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari leo

BAADA ya ziara ya mafanikio makubwa nchini Uingereza, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Aprili 11,2025 majira ya saa 4:00 asubuhi atazungumza na wananchi kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news