Unataka kuwa kiongozi mwenye ushawishi? Fanya haya

HAKUNA kitu kizuri katika maisha au jamii kama kuwa na nguvu ya ushawishi, hiki ni kitu ambacho kila mtu anapenda kuwa nacho ingawa wanasiasa mara nyingi ndio huwa wanakitamani ili waweze kufanya siasa zao kwa wepesi zaidi.

Nisingependa kutaja jina langu ila mimi ni miongoni mwa viongozi au wanasiasa wenye ushawishi mkubwa katika eneo la Meru nchini Kenya, wananchi na jamii yangu wanapenda kile ambacho ninafanya na hata kuzungumza.

Hata hivyo, miaka ya nyuma hali haikuwa hivyo, kama ungekuwa ni mkutano wa kisiasa, basi kila ambapo ningepanda jukaani watu wangeweza kuondoka, ilishawahi kunitokea hivyo mara kadhaa.
Ukweli ni kwamba hakuna mtu angevutiwa na vile ambavyo ningezungumza, na hiyo ni ishara tosha sikuwa na nguvu ya ushawishi katika macho yao na masikio yao.

Jamaa yangu mmoja ambaye alishuhudia watu wakiondoka katika mkutano mmoja wa kisiasa baada ya mimi kupewa nafasi ya kuzungumza, alinijia na kuniambia...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news