KATIKA familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati.

Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu.
Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la shamba ambalo ipo nyumba yetu, pia nyumba itakuwa yangu kwa sababu mimi ni mtoto wa mwisho.
Jambo hilo halikuwapenda kaka zangu, walisema Kwa vile mimi nilikuwa karibu sana na Baba ndio nilitumia fursa hiyo kuandika Wosia huo na sio Baba.
Ni jambo lilinishangaza kwa maana sikuwahi kujua kama kuna siku Baba aliandika...SOMA ZAIDI HAPA