Waziri Mkuu mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

ARUSHA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Grand Melia jijini Arusha.
Maadhimisho hayo yanalenga kubadilishana mawazo na kufanya majadiliano kuhusu fursa na changamoto katika sekta ya habari.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news