Waziri Mkuu mgeni rasmi Kongamano la Chama cha Wafawidhi wa Matukio Tanzania
ARUSHA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 13, 2025 ni mgeni rasmi katika Kongamano la Chama cha Wafawidhi wa Matukio Tanzania, linalofanyika Olasiti Garden, mkoani Arusha.