Bodi ya Ligi yatoa ratiba ya mechi zilizosia, Kariakoo Derby kupigwa Juni 15,2025

DAR-Bodi ya Ligi Tanzania imetoa ratiba ya mechi zilizosalia kwenye NBC Premier League pamoja na CRDB Bank Federation Cup, ambapo mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba, sasa kupigwa Juni 15, 2025 majira ya saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Ligi hiyo inatarajiwa kumalizika Juni 22, 2025 huku fainali ya CRDB Bank Federation Cup kupigwa kati ya Juni 26 hadi 28,2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news