DCEA:Mwanza bila dawa za kulevya inawezekana

MWANZA-Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imetoa mafunzo kwa maafisa watendaji wa kata za Kisesa na Bujora pamoja na wenyeviti wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika kata hizo wilayani Magu mkoani Mwanza ambao jumla ya viongozi 51 kutoka kata hizo wamepata elimu hiyo.
Taarifa zilizopo zinaonesha kuwa,Kata ya Kisesa imekuwa kama kituo (hub) cha usambazaji wa dawa za kulevya kutoka Mkoa wa Mara na maeneo jirani.
Hivyo, viongozi hao wamehimizwa kuwa mstari wa mbele kupambana na kutoa taarifa juu ya wale watakao kua wanaendelea kutumia sehemu hiyo kama kituo kikuu cha usambazaji wa dawa za kulevya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news