Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye siku ya pili ya Kikao cha Faragha kwa viongozi hao kinachofanyika Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye siku ya pili ya Kikao cha Faragha kwa viongozi hao kinachofanyika Morogoro.
Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao cha Faragha kwa wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura SinarenMuro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Mhe. Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza na wajumbe wa Ofisi hiyo wakati wa kikao cha Faragha kwa viongozi hao kilichofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro wakati akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe hao kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usuluhishi wa Ndani wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali,ndugu David Kakwaya akichangia mada kuhusu Mawasliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika mkoani Morogoro.
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro wakati akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe hao kilichofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii (aliyesimama kushoto) pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali,Bi.Alice Mtulo (aliyesimama katikati) kando ya Kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.