JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limemkamata Diana Bundala (42) maarufu Zumaridi, kwa tuhuma za kuendesha shughuli za kidini bila usajili rasmi na kusababisha usumbufu kwa wakazi wa Mtaa wa Buguku, Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo