Magazeti leo Mei 19,2025

DAR-Kiongozi wa zamani wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametangaza kuwa yuko tayari kupambana mahakamani na Harbinder Singh Sethi, Mwenyekiti Mtendaji wa Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP), kufuatia hatua za hivi karibuni za kiongozi huyo kumshtaki (Zitto) kutokana na sakata la fedha za Escrow.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Zitto amesema haogopi vitisho wala mashauri ya kisheria kutoka kwa Sethi, akisisitiza kuwa sasa ni wakati wa kumaliza mzozo huo. “Niko tayari kupambana na Sethi mahakamani na ninasema tukutane mahakamani,” alisema Zitto.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news