RAIS wa zamani wa Marekani, Joe Biden amebainika kuugua saratani ya tezi dume, hali ambayo imezua maswali kuhusu afya yake, hasa alipokuwa akihudumu katika Ikulu ya White House.



Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi yake Jumapili ilieleza kuwa Biden, mwenye umri wa miaka 82 aligunduliwa na ugonjwa huo Ijumaa baada ya kuonana na daktari kufuatia dalili za matatizo ya njia ya mkojo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo













