



Vipimo vya hospitali vilionyesha nitazaa mtoto mwenye ulemavu,lakini nilitafuta msaada nikajifungua mtoto mwenye afya kamili
SIKUWAHI kufikiria kuwa siku moja ningeondoka hospitali nikibeba mzigo wa hofu badala ya furaha.
Ilikuwa miezi sita tangu nipate ujauzito wangu wa pili. Kama mama, kila hatua ya ujauzito ilikuwa ya kipekee na ya matumaini.

Nilihudhuria kliniki kama kawaida, nikinywa dawa nilizoelekezwa, na nilikuwa na hamu kubwa ya kumuona mtoto wangu kupitia skani ya pili ya ultrasound. Lakini siku hiyo ilibadilisha kila kitu.
Daktari alikaa kimya kwa muda mrefu kuliko kawaida akitazama skrini. Halafu akahema na kusema kwa sauti ya huruma, “Tunashuku kuna matatizo ya kimaumbile kwenye ukuaji wa kichwa cha mtoto.” Kwa muda ule, nilihisi ulimwengu ume...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
























