Vipimo vya hospitali vilionyesha nitazaa mtoto mwenye ulemavu,lakini nilitafuta msaada nikajifungua mtoto mwenye afya kamili

SIKUWAHI kufikiria kuwa siku moja ningeondoka hospitali nikibeba mzigo wa hofu badala ya furaha.

Ilikuwa miezi sita tangu nipate ujauzito wangu wa pili. Kama mama, kila hatua ya ujauzito ilikuwa ya kipekee na ya matumaini.
Nilihudhuria kliniki kama kawaida, nikinywa dawa nilizoelekezwa, na nilikuwa na hamu kubwa ya kumuona mtoto wangu kupitia skani ya pili ya ultrasound. Lakini siku hiyo ilibadilisha kila kitu.

Daktari alikaa kimya kwa muda mrefu kuliko kawaida akitazama skrini. Halafu akahema na kusema kwa sauti ya huruma, “Tunashuku kuna matatizo ya kimaumbile kwenye ukuaji wa kichwa cha mtoto.”Kwa muda ule, nilihisi ulimwengu ume...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news