Magazeti leo Mei 3,2025

Mwamba akutanisha warembo watatu kwa mpigo, kilichofuata sasa!

SIKU moja kulikuwa na drama huko Loresho, Nairobi nchini Kenya baada ya wanawake watatu kujikuta wakimgombania mwanaume ambaye wote walitamani kuwa naye ndani ya ndoa.

Unaweza kuwa umeona video hiyo katika mitandaoni ya kijamii ikisambaa sana ambapo inaonyesha hali ya mtafaruku kwa mwanamume huyo aliyekuwa ameketi kitandani, huku wanawake hao watatu wakizozana.

Kwa miaka mingi mwanaume huyo aitwaye Moses Munga alikuwa akihangaika kutafuta mapenzi ya dhati, licha ya utajiri wake mkubwa hakufanikiwa kumpata mwanamke wa kutuliza moyo wake.

Majaribio yake ya kupata mwenzi wa maisha yalikwamba mara kwa mara kwani wanawake walionekana kuvutiwa zaidi na mali zake na sio kuwa tayari kufunga naye ndoa kitu ambacho kilikuwa kinamuacha njia panda.
Hata hivyo, mabadiliko yalitokea mwaka mmoja uliopita ambapo Moses alianza kuwavutia wanawake warembo na kumpenda kikweli kweli na kujenga uhusiano wenye lengo la kuanzisha maisha.

Hata hivyo, Moses alihisi anahitaji la kulipiza kisasi kwa kile walichofanyiwa na wanawake wengi huko nyuma, hivyo alijikuta yupo katika uhusiano na wanawake wengi ili kukidhi matamanio yake ya kimwili.Bila kujua...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news