Magazeti leo Mei 6,2025


Nilimvalisha mume wangu pete bila kumweleza siri yake,sasa hapinduki kwangu

JINA langu ni Asma. Nilikuwa kwenye ndoa kwa miaka minne, lakini maisha yangu ya ndoa yalikuwa ya huzuni na mateso.

Mume wangu ambaye nilidhani ni zawadi kutoka kwa Mungu aligeuka kuwa mtu mwingine kabisa baada ya harusi.

Alianza kutoka nje ya ndoa, kurudi nyumbani usiku wa manane, na hakuwahi kunisikiliza hata nilipokuwa na malalamiko ya wazi.

Nilijikuta nikilia usiku mwingi nikiwa kitandani peke yangu, nikijiuliza kwa nini mapenzi yetu yalikauka haraka hivyo.
Nilijaribu kila njia niliyoweza kufikiri maombi, ushauri wa ndoa, na hata kujaribu kuwa mke mtulivu nisiyepaza sauti.

Lakini yote yalionekana kama maji kuyamwagia juu ya mawe. Mume wangu aliendelea na tabia zake zilezile na mara nyingi aliniambia wazi kuwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news