DAR-Kwa sasa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeendelea kuwa ya moto huku watani wa jadi Simba na Yanga SC wakiendelea kuutaka ubingwa kwa hali na mali.
Baada ya michezo 26 kila mmoja kwa sa Yanga SC inaongoza Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa alama 70 huku Simba SC ikiwa nafasi ya pili kwa alama 69.
