PICHA:Wakili Mkuu wa Serikali ndani ya Bunge

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akitambulishwa Bungeni wakati wa kusoma Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2025/26.
Wakili Mkuu wa Serilkali, Dkt. Ally Possi (katikati) akifuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news