ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Madina Mjaka Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar. Madina ni mstaafu wa Utumishi wa Umma Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

