ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuzindua Mradi wa Mauzo wa MWINYI HOUSING SCHEME na Mfumo wa Kidijitali wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC), leo Mei 10,2025 saa 8 Mchana katika ukumbi wa Amani Hall -Hoteli ya New Amaan, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Katika picha akikabidhiwa fulana yenye ujumbe wa Mradi huo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) , Sultan Said Suleiman Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar.
