ABIDJA-Waziri wa Fedha, Mhe.Dkt.Mwigulu Nchemba (Mb) ambaye pia ni Gavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo Mei 29,2025 atapiga kura kumchagua Rais mpya wa Benki hiyo katika Hoteli ya Softel jijini Abidjan nchini Côte d'Ivoire, baada ya Rais wake wa sasa, Dkt. Akinumwi Adesina, kumaliza kuhula wake wa pili baada ya kuitumikia Benki hiyo kwa miaka 10 mfululizo.
Tags
Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
The African Development Bank Group (AfDB)
Wizara ya Fedha Tanzania