KWA zaidi ya miaka minne, maisha yangu yalikuwa katika hali ya sintofahamu.
Niliishi kama mtu anayengojea kulala na kuamka akiwa kwenye kitanda cha hospitali. Sikuwa na uhakika wa kesho.
Niliamka kila siku nikiwa na maumivu ya kichwa, moyo ukipiga kasi isiyo ya kawaida, na wakati mwingine presha yangu ilikuwa juu kiasi cha kunifanya kupoteza fahamu bila onyo.

Nilijaribu kila dawa, nilitembelea hospitali zote kubwa katika mji wetu, lakini hali yangu haikubadilika. Madaktari waliniambia kuwa nina shinikizo la damu la kudumu, na kwamba ningehitaji kutumia dawa maisha yangu yote.
Nilianza kunywa dawa kwa ratiba, saa ileile kila siku, lakini hata hivyo sikuona nafuu ya kudumu. Siku moja ilikuwa nzuri, siku tano zifuatazo zilikuwa mbaya. Nilikuwa nimechoka...SOMA ZAIDI HAPA