MAPUTO-Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anawakilisha Madagascar na Ufalme wa Eswatini,Mheshimiwa CP Hamad Khamis Hamad amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji jijini Maputo, Msumbiji.