DAR-Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mchumi na mbobezi katika masuala ya fedha na utawala na mkaguzi wa hesabu,Dkt.Samson Bukalasa amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo mkoani Dar es Salaam.
Dkt.Bukalasa amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo, Herry Mwenge.

