Mwandishi wa Kitabu cha Samia na Falsafa ya Samialojia,ndugu Derek Murusuri anasema kuwa,kitabu hiki ni zawadi kutoka kwa wananchi wa kawaida walioona,kuguswa na utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuliongoza Taifa na kuwathamini watu.
“Si kumpa moyo Rais Dkt.Samia kwa kazi nzuri tu,bali pia kwa kuhifadhi historia ya mambo mazuri yasije yakachukuliwa na upepo."

