DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kupokea Gawio na michango kutoka kwa taasisi na mashirika ya umma (Gawio Day 2025).Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika Juni 10,2025 saa 5 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tags
Dr Samia Suluhu Hassan
Gawio Day
Gawio la Serikali
Habari
Mashirika ya Umma
Msajili wa Hazina Zanzibar
Taasisi za Umma
