Magazeti leo Juni 12,2025

Nilivyomdhibiti mke wangu aliyekuwa akinipiga na kuninyima tendo la ndoa

KWA kawaida ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa yenyewe, kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kuliko wewe kama mume.

Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa hawayazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu, wao husahau kwamba wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote.
Niliishi na mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kunionyesha makonde nisijua hata pa kukimbilia kila usiku. Alikuwa ni mwanamke wa Kiluhya ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.

Alikuwa ni askari jela na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini, marafiki zangu walinikataza wakati fulani kwamba mwanamke yule angenisumbua, lakini yote sikutilia maanani. Mapenzi yalikuwa yamenoga na hakuna chochote nilikuwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news