Magazeti leo Juni 16,2025




















KAZI yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza, nimeifanya hii kazi kwa miaka sita ambayo nimeweza kurudishwa sana nyuma na wezi.

Hilo lilinifanya nifikirie kuhamisha duka langu na kwenda sehemu nyingine tofauti na Buza ila nikahitimisha siwezi kukimbia wezi na zaidi nikihamisha duka langu nitapoteza wateja wangu.

Kulingana jina ambalo nilikuwa nimeshalitengeneza nilikuwa na uwakika wa kuuza Tsh. 800,000 kwa siku kutokana na idadi kubwa ya wateja ambao nilikuwa nao.

Ilinibidi nivumilie na kuongeza jitiada katika biashara yangu ya duka pamoja na kulipa kampuni tofauti kwa ajili ya kupata walinzi dukani kwangu.
Jitihada hizo ziliweza kunisaidia kwa miezi sita tu na baadaye wezi walirudi na kuniibia bidhaa zenye thamani ya Tsh. 12, 000, 000 (milioni 12) na mlinzi aliyekuwepo siku hiyo alifungwa mikono, mdomo na miguu, huku wakimpiga sana hadi kumjeruhi.

Kabla sijafika kazini kwangu asubuhi nilipokea simu kuwa wezi wamevunja duka langu tena na mlinzi yupo Hospitali na hali yake ni mbaya sana.

Kwa haraka sana niliweza kufika kituo cha Polisi na kutoa maelezo kisha nikapewa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news