UNAJUA hakuna jambo linachosha na kuumiza kama kupata fedha, tena fedha nyingi lakini zinakuwa zinaisha bila kuona zimefanya kazi gani hasa, yaani fedha zinakuwa kama zinapita njia kwako tu. Inaumiza sana.
Ndivyo ilivyokuwa na kwangu pia, nilikuwa nafanya kazi na kupokea mshahara kila mwisho wa mwezi, lakini ukiangalia maisha yalivyo, hayana tofauti sana na mtu asiye na kazi!.

Hadi mwenyewe nikawa nashangaa kwanini hali hiyo, kila ambapo nilikuwa najiuliza ni wapi fedha zangu zinaenda, nilikuwa sipati jibu kabisa, hadi ikafikia hatua nikahisi nyumba ninayoishi ina majini ambayo yanachukua fedha zangu, hivyo nikaamua kuhama ila hali iliendelea kuwa...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo