Magazeti leo Juni 22,2025

HAKUNA kitu ambacho kimewahi kunipa sana msongo mawazo maishani mwangu kama kipindi ambacho kila wakati nilipokuwa napata fedha zilikuwa zinapotea kama sio kutoweka bila kufanyia jambo lolote la maendeleo.

Jina langu ni Abed, ni mfanyakazi wa serikali, kila mwisho wa mwezi nilikuwa napokea mshahara kama wafanyakazi wenzangu,lakini mimi nilikuwa nashindwa kupiga hatua kimaisha.

Wenzangu walikuwa wanafungua biashara zao na hata kununua magari, lakini kwangu ilikuwa nikipata tu fedha, basi zinaibuka shida za aina mbalimbali kiasi kwamba unajita zile fedha zote zimeisha.
Nilijaribu kwenda kwa waganga mbalimbali wa mitishamba ili kuweza kupata tiba, lakini huko nako sikufanikiwa hata kidogo zaidi ya wao pia kuzitaka fedha zangu.

Siku moja nilipokuwa nasoma kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na ushuhuda wa mtu mmoja ambaye alieleza kuwa naye alikuwa na tatizo kama langu ila alikuja kupata dawa kutoka kwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news