BAADA ya ukuaji wa teknolojia, bidhaa nyingi na huduma zimekuwa zikitolewa kwa njia ya mtandao, hata hivyo suala hilo limekuwa likiingiliwa na watu wachache ambao sio waaminifu ambao wamekuwa wakitapeli watu fedha zao.
Jambo hilo liliwahi kunitokea kama mwaka mmoja uliopita ambapo nilinunua gari katika mtando mmoja na makubaliano yalikuwa nilipe fedha nusu na nyingine nilipe baada ya kukabidhiwa gari langu.

Basi nililipa fedha zile kupitia akauti ya benki niliyoelekezwa, makubaliano yalikuwa baada ya wiki tatu niletewe gari langu hadi nyumbani lakini haikuwa hivyo.
Kila mara ningewapigia simu na kuwauliza kuhusu hilo na majibu yao yalikuwa kuwa wapo katika mchakato wa kulisafirisha hivyo nisiwe na wasi wasi wowote ule.
Siku zilizidi kusonga bila ya mimi kupatiwa gari langu, kila nikipiga ile namba haikupokelewa na mwisho wa siku ikawa haipatikani tena na ule mtandao nikawa...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo


























