Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa, Bunge la 12 litavunjwa rasmi Agosti 03, kufuatia kukamilika kwa kipindi chake cha kikatiba.
Akizungumza Juni 27, 2025 jijini Dodoma wakati wa kufunga shughuli za Bunge hilo, Rais Samia amesema kuvunjwa kwa Bunge kutafungua rasmi ukurasa wa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na kuwataka Watanzania kujiandaa kwa kipindi cha kampeni kwa amani na utulivu.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo












