Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kati ya Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) na Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyeketi kushoto) akimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa Hafla ya kutia saini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) na Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baina ya Chama cha Mawakili wa Serikali, PBA na Chama cha Mawakili wa Tanganyika, TLS uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto anayesaini ni Katibu wa PBA, Wakili Rashid na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othuman. Wanaoshuhudia nyuma ni Rais wa TLS, Wakili B. Mwabukusi na Makamu wa Rais wa PBA, Wakili Debora Mcharo.

Katibu wa Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA), Wakili Rashid Mohamed wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Bi. Mariam Othuman baada ya kusaini hati hiyo wakati wa hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia nyuma ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati), Rais wa TLS, Wakili Boniphace Mwabukusi na Makamu wa Rais wa PBA, Wakili Debora Mcharo (wa kwanza kulia).

Katibu wa Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA), Wakili Rashid Mohamed na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Bi. Mariam Othuman wakionesha Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano baada ya kusaini hati hiyo wakati wa hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia nyuma ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati), Rais wa TLS, Wakili Boniphace Mwabukusi na Makamu wa Rais wa PBA, Wakili Debora Mcharo (wa kwanza kulia).
Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Wakili Debora Mcharo akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye hafla ya utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) na Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa hafla ya utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) na Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.Viongozi wa Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) na Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya PBA na TLS wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Mawakili Wa serikali (PBA), Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) na viongozi waandamizi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kushuhudia utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushiriano baina ya vyama hivyo viwili wakati ya hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Tags
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali