Balozi Saidi Yakubu afanya mazungumzo na Rais wa Comoro

MORONI-Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu akiwa katika mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani walipokutana hivi karibuni.
Rais Azali amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa ujio wake nchini Comoro na maelezo mazuri kwa wananchi na Serikali ya Comoro ambapo pamoja na mambo mengine, aliahidi kufanya kazi na Serikali ya Rais Azali kuimarisha Sekta ya Afya na kueneza lugha ya Kiswahili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news