Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) yatoa adhabu na kutoza faini
DAR-Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 15,2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na kufanya maamuzi yafuatayo;