Magazeti leo Julai 17,2025

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk. Ashatu Kijaji amekabidhi boti 13 za Uvuvi zenye thamani ya shilingi Bilioni 2 kwa vikundi vya mikoa ya Pwani na Dar es Salaam ambazo zinatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya wavuvi 205 wa mikoa hiyo.
Waziri Kijaji amekabidhi boti hizo leo Julai 16, 2025 kwenye ufukwe wa Shirika la Uvuvi nchini (TAFICO) ambapo mkoa wa Pwani umekabidhiwa Boti 8 huku mkoa wa Dar-es-Salaam ukikabidhiwa Boti 5 zote zikiwa na urefu wa mita 12 na 14 ambazo zinajumuisha vifaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyavu, kamba, maboya, nyuzi, kitafuta samaki na boti saidizi maarufu kama dingi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news