Waziri wa Nchi Ofisii ya Waziri Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Ridhiwani Kikwete amesema kuwa, Tanzania itakuwa mwenyeji katika mkutano wa Kimataifa wa wadau wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Afrika (ASSA), unaotarajia kufanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) cha jijini Arusha.
Akizungumza wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mhe. Ridhiwani amesema kuwa, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt.Philip Mpango Julai 10 mwaka huu, anatarajia kufungua Mkutano huo ambapo Mifuko hiyo ya jamii itakayoshiri kutoa Tanzania Bara na Zanzibar ni pamoja na NSSF, PSSF, NHIF,WCF, ZSSF na ZHHF.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
_1.jpg)

























