Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus, Dkt. Kombos anafanya ziara kwa niaba ya Mwakilishi Mkuu wa Masuala ya Kigeni na Sera ya Usalama wa Umoja wa Ulaya na Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya, Kaja Kallas.



Lengo kuu la ziara hiyo ni kuimarisha mahusiano ya pande mbili, maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, na ushirikiano wa kiuchumi chini ya mkakati wa Umoja wa Ulaya wa Global Gateway.
Balozi wa Umoja wa Ulaya kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Christine Grau, alipokuwa akizungumzia ziara hiyo, alieleza kuwa “Tanzania ni mshirika wa kuaminika na mwenye utulivu katika eneo lenye umuhimu wa kimkakati.”
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo





















