Naibu Katibu Mkuu Omolo atembelea banda la PPAA maonesho ya Sabasaba

DAR-Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo ametembelea banda la Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine, Bi. Omolo ameipongeza PPAA kwa kuanza matumizi ya Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa katika mfumo wa NeST. Kupitia maonesho hayo, Bi. Omolo amefahamishwa majukumu na mafanikio ya Mamlaka ya Rufani kwa kipindi cha miaka minne chini ya Uongozi wa Serikali ya awamu ya sita.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news