HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi akagua jengo jipya la ZEC Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili na kukagua Jengo jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) , lililopo Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 16 Julai 2025. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News ZEC Zanzibar Facebook Twitter