DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Julai 8,2025 Ikulu jijini Dar es Salaam amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Access Tanzania, ndugu Protase Ishengoma pamoja na ujumbe aliombatana nao.



