Rais Kagame ateta na Waziri Balozi Kombo jijini Kigali

KIGALI-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame, Ikulu ya Kigali, Rwanda.
Viongozi hao wameangazia ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Rwanda pamoja na matunda ya Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda, uliofanyika kwa siku tatu jijini Kigali, kuanzia tarehe 24 hadi 26 Julai, 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news