Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said ambapo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Balozi Mhandisi Zena Ahmed Said amepangiwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo






















